TUSA yathibitisha wawili kushiriki vyuo Dunia
Shirikisho la Michezo ya Vyuo Vikuu Tanzania TUSA limethibitisha wachezaji wawili wanaotarajia kushiriki mashindano ya vyuo vikuu Duniani yanayotarajiwa kufanyika Julai tatu mpaka 16 mwaka huu Guangzhou nchini Korea.