Yanga kujiuliza kwa Etoile Jumamosi hii

Young Africans kesho inatarajia kushuka dimbani nchini Tunisia katika mchezo wake wa marudiano ya kombe la shirikisho barani Afrika hatua ya 16 bora dhidi ya Etoile du Sahel ya nchini Tunisia dimba la Olympique de Sousse katika mji wa Sousse.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS