Bado siridhishwi na kikosi changu - Kocha Olaba Kocha wa Timu ya Ruvu Shooting Tom Olaba amesema kiwango kinachooneshwa na timu yake bado hajaridhishwa nacho kwani anahitaji kufika mbali zaidi ya alipo sasa. Read more about Bado siridhishwi na kikosi changu - Kocha Olaba