Dkt. Magufuli; Nimejiandaa kupambana na rushwa Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Pombe Magufuli amesema amejiandaa kupambana na rushwa pamoja na vitendo vya wizi wa mali za umma atakapochaguliwa na watanzania kuwa Rais wao. Read more about Dkt. Magufuli; Nimejiandaa kupambana na rushwa