Muziki wa Hisia kupelekwa Arusha Msanii wa muziki wa miondoko ya Soul na RNB Hisia Msanii wa muziki Hisia ameanza maandalizi ya kufanya onesho lake kubwa la muziki alilolibatiza jina 'Muziki wa Hisia' litakalofanyika wiki ijayo mjini Arusha. Read more about Muziki wa Hisia kupelekwa Arusha