TEMCO; Uandikishaji wapiga kura ulikuwa na kasoro
Taasisi ya Uangalizi wa Uchaguzi nchini Tanzania (TEMCO) imesema zoezi la uandikishaji wananchi katika daftari la kudumu wapiga kura kwa mfumo wa BVR limeonesha kushindwa kufanikiwa kutokana na baadhi ya maeneo kuandikisha wahamiaji haramu.

