Dkt. Magufuli; Nimejiandaa kupambana na rushwa

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Pombe Magufuli amesema amejiandaa kupambana na rushwa pamoja na vitendo vya wizi wa mali za umma atakapochaguliwa na watanzania kuwa Rais wao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS