Yanga yatwaa Ngao ya Jamii 2015/16

Klabu ya Yanga imetwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuifunga Azam FC kwa penati 8 kwa 7 katika mchezo uliopigwa katika dimba la taifa Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS