Serikali kuiboresha mahakama ya haki za binadamu

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu mjini Arusha

Serikali imetoa dola za Marekani 100,000 kama mchango wake kwa ajili ya msaada wa kisheria katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), ambayo makao makuu yake yapo mkoani hapa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS