Idd Azzan apania kuboresha sekta ya Afya Kinondoni
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Mh. Idd Azzan amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya wananchi kwa kuwawakilisha kwa mara nyingine atasaidia kuboresha sekta ya afya na kutatua tatizo la Ajira kwa Vijana.

