JK awatunuku Kamisheni maafisa 166 wa JWTZ

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ.

RAIS Jakaya Kikwete na Amiri jeshi mkuu leo amewatunuku kamisheni maafisa 166 wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wa kundi namba 56/14, katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi kilichopo Monduli, Mkoani Arusha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS