Big Boss aanika hisia kupitia Hip Hop
Mwana Hip Hop Biggie Boss ambaye unamsoma sana kupitia hit single ya Black on Black aliyofanya na Chidi Benz na One the Incredible kipindi cha nyuma amebadilisha miguso ya ngoma za hip hop na kuweka hisia zake wazi kwa kuambatanisha falsafa ndani.

