VIJANA WAELIMISHANE KUHUSU KUPIGA KURA Vijana hapa nchini wametakiwa kuelimishana kuhusu elimu ya mpiga kura, ili kuwa na uelewa mzuri juu masuala ya uchaguzi, na kuacha kuwa na ushabiki usio na tija. Read more about VIJANA WAELIMISHANE KUHUSU KUPIGA KURA