Muda wa Stars ni mdogo, tumeanza maandalizi - TFF

Shirikisho la soka nchini TFF limesema muda uliobaki ni mdogo kwa Timu ya Taifa kujiandaa na mchezo wa kwanza dhidi ya Malawi kwa ajili ya kuwania kupangwa kwenye makundi ya kugombea kucheza Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS