Tunasubiri ripoti ya kamishna ufunguzi wa ligi-TFF Shirikisho la soka nchini TFF limesema linasubiri ripoti ya kamishna ili kujua masuala mbalimbali juu ya viwanja na mtukio ya uwanjani katika michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Read more about Tunasubiri ripoti ya kamishna ufunguzi wa ligi-TFF