Ushindani wa soka huanzia mikoani - Matinde Msimamizi wa michuano ya vijana chini ya miaka 15 Airtel Rising Stars Jane Matinde amesema, michuano hiyo imekuwa na ushindani kutokana na timu za wasichana kuanzia katika hatua za mikoa. Read more about Ushindani wa soka huanzia mikoani - Matinde