Jane amesema, vijana wanashindana kwa kasi sana katika michuano hiyo ambayo leo imeingia siku ya pili imeonyesha ni njinsi gani soka la wanawake linazidi kukua sana kwa hapa nchini.
Matende amesema, vijana hao ni hazina kubwa ka makocha na wadau wa mpira kuweza kupata wachezaji kupitia michuano hiyo ambao wataweza kusaidia timu kuweza kufanya vizuri.
Matinde amesema, viongozi wa vilabu hapa nchini wanatakiwa kuangalia vijana wanaochipukia katika michuano hiyo ili kupunguza gharama za kutumia fedha nyingi kwa ajili ya kufuata wachezaji nje ya nchi.



