Watendaji watakiwa kuacha urasimu usajili biashara
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Uledi Musa akiongea na wadau wa Biashara
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Uledi Musa amewataka baadhi ya watendaji kupunguza urasimu wakati wa kusajili majina ya kufungua biashara za watu mbalimbali nchini.