Kikwete ateua Makamishna NEC,Wakuu wa mikoa wawili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewateua Makamishna wawili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC pamoja na wakuu wa mikoa wawili ambao wanaziba nafasi zilizoachwa na wakuu wa mikoa walioingia kwenye kinyang'anyiri cha kugombea ubunge.

