Wanawake Singida walalamikia walanguzi wa mazao
Wanawake wa mkoa wa Singinda wamelalamikia wafanyabiashara kununua mazao yakiwa mashambani kwa rumbesa kwa bei wanayoitaka hali inayowaumiza kutokana na kulima kwa hasara na hivyo kuwataka wagombea waje na majibu jinsi ya kuwasaidia kupata masoko.
