ligi kuu bara kuendelea kesho mzunguko wa pili Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara inatarajiwa kuendelea hapo kesho katika mzunguko wake wa pili katika viwanja saba nchini, huku timu 14 zikitarajiwa kuchuana kusaka pointi tatu muhimu. Read more about ligi kuu bara kuendelea kesho mzunguko wa pili