Safu ya ushambuliaji inaniangusha - Kocha Stewart

Baada Azam FC kuichapa Tanzania Prisons 2-1 katika pazia la ufunguzi wa ligi kuu ya Soka Tanzania Bara siku ya Jumamosi, kocha mkuu Muingereza Stewart Hall amesema, kipigo hicho ni mwanzo tu na mpango wake ni kuchapa timu zote zinazokuja mbele yetu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS