M2TheP ataka mabadiliko kwanza
Wakati asilimia kubwa ya wasanii wa muziki na filamu hapa Tanzania wakiendelea kujikita katika shughuli za kampeni, nyota wa muziki M2THEP, ameweka wazi kuwa kwa upande wake anasimamia kutaka mabadiliko, bila kusimama upande wowote ule.

