CCM Iringa wasisitiza kampeni za amani na utulivu
Chama cha Mapinduzi CCM, mkoa wa Iringa kimewaagiza makada wake na wanachama wa chama hicho kujiepusha na siasa zenye mlengo wa kupandikiza chuki miongoni mwa jamii ili kuepuka uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu.
