Nah Reel akili yote kwenye muziki
Mtayarishaji na msanii wa muziki Nah Reel, amejitabiria nafasi kubwa zaidi katika muziki siku za mbeleni kutokana na uamuzi wake wa kuweka kila kitu pembeni ikiwepo fani yake rasmi ya Sayansi ya Kompyuta ili kudili na muziki tu.

