Wananchi watakiwa kutoa taarifa uhalifu mitandaoni
Wamiliki wa mitandao ya mawasiliano nchini wametakiwa kutoa taarifa haraka juu ya makosa ya uharifu wa mitandaoni pindi yanapojitokeza, ili kuvirahisishia vyombo vya usalama kuweza kuchukua hatua za haraka kwa wahusika.

