'Mishale' ya Lolo ina maana nyingine
Baada ya msanii wa muziki wa kike anayekuja kwa kasi, Lolo Da Princess amefafanua ujumbe mzima ambao unabebwa na
project yake mpya inayokwenda kwa jina 'Mishale' akiwa amefunika kidogo ujumbe halisi alionuia kuufikisha kwa kutumia usanii wake.

