Dirisha la Usajili RBA lafunguliwa rasmi

Dirisha la usajili la Timu shiriki za ligi ya mpira wa kikapu mkoa wa Dar es salaam limefunguliwa rasmi huku likitarajiwa kufungwa wiki mbili baada ya kuanza michuano hiyo Oktoba mbili uwanja wa ndani wa taifa jijini Das es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS