Mikoa yatakiwa kuanzisha kozi kukuza wavu ufukweni
Mikoa iliyochini ya Chama cha Mpira wa Wavu nchini TAVA imetakiwa kuanzisha mafunzo mbalimbali kwa waamuzi ili kuweza kuwa na waamuzi wengi watakaoweza kuchezesha michuano mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.

