Wazee walia kusahauliwa katika sera majukwaani
Chama cha Wastaafu na Wazee Mkoa wa Mtwara (CHAWAMU) kimelalamikia kitendo cha wanasiasa wanaogombea nafasi mbalimbali za uongozi katika ngazi zote, kuwasahau wazee katika sera zao wanazozitoa wakati wa kuomba kura.

