Kamanda wa polisi mkoa wa mbeya, kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi, Ahmed Msangi.
Watu tisa wamejeruhiwa vibaya na magari mawili kuharibiwa katika vurugu ambazo zimetokea jijini Mbeya zikihusisha wafuasi wa chama cha mapinduzi, CCM, na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA.