Dully atanguliza zawadi kabla ya mtoko rasmi

Dully Sykes

Msanii Dully Sykes ambaye wiki hii ameachia kimya kimya rekodi yake mpya inayokwenda kwa jina 'Kwani wewe ni Nani, amefafanua kuwa hiyo si kazi rasmi kutoka kwake, akiwa ameamua kuiachia mitandaoni pekee kwaajili ya kuwapatia ladha tu mashabiki wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS