Hatujitoi UKAWA - NCCR Mageuzi Chama cha NCCR Mageuzi kimesema kuwa hakitajitoa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA licha ya kuwepo kwa mikakati ya kuwadhuru baadhi ya viongozi wa umoja huo, pamoja na kuusambaratisha muungano wao. Read more about Hatujitoi UKAWA - NCCR Mageuzi