Ligi kuu bara mzunguko wa tatu kuendelea kesho Michuano ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara inatarajiwa kuendelea hapo kesho katika mzunguko wake wa tatu katika viwanja vinne nchini huku timu nane zikitarajiwa kuchuana kusaka pointi tatu muhimu. Read more about Ligi kuu bara mzunguko wa tatu kuendelea kesho