CECAFA yatakiwa kuboresha uendeshaji wa mashindano Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati CECAFA limetakiwa kuboresha uendeshaji wa mashindano wanayoyaandaa ili kuwezesha timu za Afrika Mashariki na kati kuweza kukua kisoka. Read more about CECAFA yatakiwa kuboresha uendeshaji wa mashindano