Tumejipanga kudhibiti uhalifu christmass - Kova
Kamanda Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova, amesema jeshi la Polisi limejidhatiti kwa kiasi kikubwa kudhibiti vitendo vya uhalifu, vinavyotokea mara kwa mara wakati wa siku kuu za mwisho wa mwaka.