Mashine za urafiki zashindwa kufungwa kwa wakati Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mh. Charles Mwajage Baadhi ya mashine zilizonunuliwa kwa mkopo kwa ajili ya kiwanda cha Urafiki Jijini Dar es Salaam hazijafungwa kwa muda ili kuanza kutumika kusaidia kiwanda hicho kuboresha uzalishaji. Read more about Mashine za urafiki zashindwa kufungwa kwa wakati