Kamikaze ajitetea, Wakacha bado ipo
Nyota wa muziki Cyrill Kamikaze amezungumzia kupotea kwa Wakacha muungano wa wasanii ambao kwa kiasi kikubwa uliweza kuishika tasnia ya Bongo Fleva katika kipindi cha nyuma kwa upande wa kazi nzuri za muziki na Showbiz.