CHABATA yaagiza mikoa kuleta kalenda zao za mwaka Chama cha Baiskeli nchini Tanzania CHABATA kimeagiza viongozi wa vyama vya mikoa kuwasilisha kalenda zao za michezo kwa mwaka huu, ili kupata kalenda ya pamoja ya matukio ya mashindano ya baiskeli. Read more about CHABATA yaagiza mikoa kuleta kalenda zao za mwaka