Mashaga alia na uhaba wa eneo la kufanyia mazoezi
licha ya kuendelea vyema na mazoezi ya maandalizi kushiriki mashindano ya kufuzu kucheza Olimpiki mwakani yatakayofanyika huko Casablanca Timu ya Taifa ya ngumi inakabiliwa na shida ya sehemu ya kufanyia mazoezi hayo.