mwanasoka wa Tanzania Mbwana Samatta aliyetwaa Tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika wa CAF
Kufuatia ushindi mkubwa kabisa wa mwanasoka wa Tanzania Mbwana Samatta wa kutwaa Tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika wa CAF, umepokelewa kwa furaha kubwa hapa Nyumbani Tanzania kwa ujumla.