Wachezaji watakiwa kuwa na wivu na Samatta Wachezaji wa kitanzania wametakiwa kutambua umuhimu wao na thamani ya Soka ili kuweza kufikia malengo zaidi kama aliyoyafikia hivi sasa mshambuliaji wa Kimataifa Mbwana Ally Samatta. Read more about Wachezaji watakiwa kuwa na wivu na Samatta