Kasi ya mfumuko wa bei mwezi Desemba 2015 yapanda Kasi ya Mfumuko wa bei ya Taifa ya bidhaa kwa mwezi Desemba 2015 umeongezeka hadi asilimia 6.8 kutoka asilimia 6.6 tofauti na ilivyokuwa mwezi Novemba 2015. Read more about Kasi ya mfumuko wa bei mwezi Desemba 2015 yapanda