Matonya atamani wasanii zaidi Bongo Nyota mkongwe katika gemu ya Bongofleva, Matonya Nyota mkongwe katika gemu ya Bongofleva, Matonya amesema kuwa ili kukuza muziki hapa Bongo, kunahitajika wasanii kuongezeka zaidi wakiwa pia na juhudi binafsi zinazoeleweka katika kiwango kinachotakiwa. Read more about Matonya atamani wasanii zaidi Bongo