FNL MZUKA JOJO
Jojo Dancer ambaye kwa sasa ameamua kuingia kwenye muziki na anafanya vizuri, huyu hapa akitoa burudani.
FNL MZUKA COUNTRY BOY
Country boy amekanusha kuwa hana ugomvi wowote kati yake na rapa Young Dee na kusema wao kama Mtu Chee wako vizuri lakini kikazi ndio hawako pamoja tena.
FNL MZUKA -JOH MAKINI
Joh Makini akieleza kuwa katika nyimbo sio lazima hadi jina lako litajwe hata kama umeshiriki kutengeneza au kutia kionjo katika huo wimbo.