Simba na Mtibwa,Yanga na URA nusu Fainali Jumapili Simba SC itakutana na Mtibwa Sugar katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Jumapili, Uwanja wa Amaan, Zanzibar, wakati URA ya Uganda itamenyana na Yanga SC. Read more about Simba na Mtibwa,Yanga na URA nusu Fainali Jumapili