Mkuu wa wilaya kupanda kizimbani kwa Ubadhilifu
Mahakama ya wilaya ya Chato mkoani Geita imewakuta na kesi ya kujibu washitakiwa sita ubadhilifu wa pembejeo za kilimo na matumizi mabaya ya madaraka akiwemo aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo,Hadija Nyembo,ambaye ni mkuu wa wilaya ya Kaliua.