Waziri mkuu awaonya watumishi wa serikali

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang'olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina mchezo na mtu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS