Mmejipangaje kuzuia dawa za kulevya-Kitwanga
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mh. Charlses Kitwanga amewaagiza maofisa waandamizi wa jeshi la polisi kumpelekea maelezo hii leo kuwa wamejipangaje na watafanya nini katika kupambana na kuwamata wahusika wa dawa za kulevya.