Mbunge aanzisha program ya kingereza kwa wananchi

Mbunge wa jimbo la Mtwara mjini (CUF) Maftaha Nachuma

Wananchi wa manispaa ya Mtwara Mikindani wamehamasika na kujitokeza kwa wingi katika program maalumu ya kuwaendeleza kielimu iliyoanzishwa na Mbunge wa jimbo la Mtwara mjini (CUF) Maftaha Nachuma, kwa lengo la kuinua kiwango cha elimu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS